This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• TECNO Zanzibar Trip Tanzania

Msimu wa mwezi wa pili wa mwaka 2019, mwezi wa upendo, TECNO Mobile Tanzania iliandaa kampeni ya kuwazadia wapendanao safari ya kwenda kutembelea kisiwa kizuri Africa.. kisiwa cha Zanzibar.

Walichotakiwa kufanya wapendwa wetu ni kuandaa ujumbe mzuri kwa ajili ya watu wanaowapenda katika mfumo wa picha au video na kupost kwenye account zao za mitandao ya kijamii.

Kisha tulichagua washindi watatu ambapo kila mmoja alipewa nafasi ya kumchagua mtu mmoja atakayependa kusafiri naye.

Yafuatayo ni matukio katika picha kwa ufupi tu jinsi safari yetu ilivyokua:-

Kuwasili Kisiwani Zanzibar:

Click image for larger version

Name:	Picture1.jpg
Views:	1
Size:	56.6 KB
ID:	21367 Click image for larger version

Name:	Picture2.jpg
Views:	1
Size:	72.2 KB
ID:	21368 Click image for larger version

Name:	Picture3.jpg
Views:	1
Size:	45.6 KB
ID:	21369 Click image for larger version

Name:	Picture4.jpg
Views:	1
Size:	43.8 KB
ID:	21370

Washindi wetu walipofika kisiwani hapo, walitembelea sehemu mbalimbali za kihistoria katika mji huo na pia wakapata nafasi ya kutembelea kisiwa kingine.
Baadhi ya sehemu walizotembelea ni:-
1. Stone Town
2. Prison Island
3. Tortoise reserve
4. Forodhani
5. Local Market
Stone Town Tour:
Click image for larger version

Name:	Picture5.jpg
Views:	1
Size:	49.0 KB
ID:	21371 Click image for larger version

Name:	Picture6.jpg
Views:	1
Size:	49.1 KB
ID:	21372 Click image for larger version

Name:	Picture7.jpg
Views:	1
Size:	47.3 KB
ID:	21373 Click image for larger version

Name:	Picture8.jpg
Views:	1
Size:	59.6 KB
ID:	21374

Kutembelea Kisiwa cha kihistoria cha Prison Island:

Click image for larger version

Name:	Picture9.jpg
Views:	1
Size:	44.8 KB
ID:	21375 Click image for larger version

Name:	Picture10.jpg
Views:	1
Size:	60.8 KB
ID:	21376 Click image for larger version

Name:	Picture11.jpg
Views:	1
Size:	76.5 KB
ID:	21377
Click image for larger version

Name:	Picture12.jpg
Views:	1
Size:	44.5 KB
ID:	21378

Chakula cha usiku pamoja na washindi wetu:

Click image for larger version

Name:	Picture13.jpg
Views:	1
Size:	45.5 KB
ID:	21379 Click image for larger version

Name:	Picture14.jpg
Views:	1
Size:	39.7 KB
ID:	21380
Click image for larger version

Name:	Picture15.jpg
Views:	1
Size:	54.4 KB
ID:	21381

Washindi wetu wakapata nafasi ya kumpumzika usiku kwenye nyumba nzuri iliyoandaliwa kwa ajili yao. Kesho yake wakapata breakfast nzuri na kujiandaa kurudi Dar.

Click image for larger version

Name:	Picture16.jpg
Views:	1
Size:	102.9 KB
ID:	21382

Click image for larger version

Name:	Picture17.jpg
Views:	1
Size:	35.1 KB
ID:	21383

Tecno Mobile Tanzania... Expect More!!!

• #2
NICE

Originally posted by TECNO SPOT TZ
Msimu wa mwezi wa pili wa mwaka 2019, mwezi wa upendo, TECNO Mobile Tanzania iliandaa kampeni ya kuwazadia wapendanao safari ya kwenda kutembelea kisiwa kizuri Africa.. kisiwa cha Zanzibar.

Walichotakiwa kufanya wapendwa wetu ni kuandaa ujumbe mzuri kwa ajili ya watu wanaowapenda katika mfumo wa picha au video na kupost kwenye account zao za mitandao ya kijamii.

Kisha tulichagua washindi watatu ambapo kila mmoja alipewa nafasi ya kumchagua mtu mmoja atakayependa kusafiri naye.

Yafuatayo ni matukio katika picha kwa ufupi tu jinsi safari yetu ilivyokua:-

Kuwasili Kisiwani Zanzibar:

[ATTACH=CONFIG]n301935[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301936[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301937[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301938[/ATTACH]

Washindi wetu walipofika kisiwani hapo, walitembelea sehemu mbalimbali za kihistoria katika mji huo na pia wakapata nafasi ya kutembelea kisiwa kingine.

Baadhi ya sehemu walizotembelea ni:-

1.

2. Stone Town

3. Prison Island

4. Tortoise reserve

5. Forodhani

6. Local Market

Stone Town Tour:

[ATTACH=CONFIG]n301939[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301940[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301941[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301942[/ATTACH]

Kutembelea Kisiwa cha kihistoria cha Prison Island:

[ATTACH=CONFIG]n301943[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301944[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301945[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301946[/ATTACH]

Chakula cha usiku pamoja na washindi wetu:

[ATTACH=CONFIG]n301947[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301948[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301949[/ATTACH]

Washindi wetu wakapata nafasi ya kumpumzika usiku kwenye nyumba nzuri iliyoandaliwa kwa ajili yao. Kesho yake wakapata breakfast nzuri na kujiandaa kurudi Dar.

[ATTACH=CONFIG]n301950[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n301951[/ATTACH]

Tecno Mobile Tanzania... Expect More!!!

Comment

• #3
Tm Fm na Theophile

Habari ni

Msimu wa mwezi wa pili wa mwaka 2019, mwezi wa upendo[Mobile Tanzania[/COLOR] iliandaa kampeni ya kuwazadia wapendanao safari ya kwenda kutembelea kisiwa kizuri Africa.. kisiwa cha Zanzibar.

Walichotakiwa kufanya wapendwa wetu ni kuandaa ujumbe mzuri kwa ajili ya watu wanaowapenda katika mfumo wa picha au video na kupost kwenye account zao za mitandao ya kijamii.

Kisha tulichagua washindi watatu ambapo kila mmoja alipewa nafasi ya kumchagua mtu mmoja atakayependa kusafiri naye.

Yafuatayo ni matukio katika picha kwa ufupi tu jinsi safari yetu ilivyokua:-

Kuwasili Kisiwani Zanzibar:[/FONT][/SIZE]

[ATTACH=CONFIG]n301935[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301936[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301937[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301938[/ATTACH]

Washindi wetu walipofika kisiwani hapo, walitembelea sehemu mbalimbali za kihistoria katika mji huo na pia wakapata nafasi ya kutembelea kisiwa kingine.

Baadhi ya sehemu walizotembelea ni:-

1.

2. Stone Town

3. Prison Island

4. Tortoise reserve

5. Forodhani

6. Local Market

Stone Town Tour:

[ATTACH=CONFIG]n301939[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301940[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301941[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301942[/ATTACH]

Kutembelea Kisiwa cha kihistoria cha Prison Island:

[ATTACH=CONFIG]n301943[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301944[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301945[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301946[/ATTACH]

Chakula cha usiku pamoja na washindi wetu:

[ATTACH=CONFIG]n301947[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301948[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n301949[/ATTACH]

Washindi wetu wakapata nafasi ya kumpumzika usiku kwenye nyumba nzuri iliyoandaliwa kwa ajili yao. Kesho yake wakapata breakfast nzuri na kujiandaa kurudi Dar.

[ATTACH=CONFIG]n301950[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n301951[/ATTACH]

Tecno Mobile Tanzania... Expect More!!!

[/QUOTE]

Comment

• #4
je peut me connected sur se portable

Comment

• #5
Trips are a very essential one for everyone. It is the best option for giving a break to a busy life and time for their family Best Web Hosting. The gap is very necessary for a person to make their self free and relaxed.

Comment

• #6
hunk

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD