This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• TECNO Tanzania yazindua kampeni ya kuisaidia jamii iitwayo, Kuwa Shujaa Wangu. Tanzania

November 2018, Dar es Salaam, Tanzania – TECNO Tanzania ilizindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo Kuwa Shujaa Wangu kama jukumu la kujitolea kuisaidia jamii (Corporate Social Responsibility). Kampeni hii ina lengo ya kuwashika mkono watu waliokatika mazingira magumu. Zoezi lilianzia kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Chanika Children Center kinachosimamiwa na Pannasekara Rev ILukpitiye, kiongozi wa dhehebu la Buddha Tanzania.

TECNO iliweza kupeleka misaada mbalimbali kama vile; mchele, unga, maji, sabuni, juisi, mipira, biskuti n.k. Zoezi hili liliratibiwa pia katika mitandao ya kijamii na maduka ya TECNO Smart Hub ilikuwezesha ukusanyaji misaada kwa ajili ya kituo hichi.

Click image for larger version

Name:	1.jpg
Views:	1
Size:	333.5 KB
ID:	21684

Click image for larger version

Name:	2.jpg
Views:	1
Size:	305.0 KB
ID:	21685

Pichani kutoka kushoto waliosimama ni, Pannasekara Rev ILukpitiye (Mkuu wa kituo cha Chanika), msaidizi wake, wasamaria wema kutoka Sri Lank. Chini kutoka kushoto ni, Benson Mambosho (Msimamizi wa idara ya kidijitali TECNO), William Motta (Meneja msaidizi masoko TECNO), Frank Luo (Meneja wa Masoko TECNO) na Eric Mkomoya (Msimamizi wa mahusiano ya umma TECNO).

• #2
hongera sana tecno tanzania mm kama mtumiaji wa bidhaa za tecno nafurahi kuona nanyi pia mna ona thaman ya kile mnachopata na kuikumbuka jamii ya Tanzania conglatulation sana mfano mzuri na wa kuigwa kwa makampuni mengine

Comment

• #3
tecno nawaelewa sasa

Comment

• #4
Safi asee

Comment

• #5
hongera sana techno atuwa nzuri sana iyo yakuwajali na kuwakumbuka watoto mayatima mungu yu pamoja nanyi asante sana.

Comment

• #6
niiiiicee

Comment

• #7
:0x1f495::0x1f495::0x1f495::0x1f495::0x1f495::0x1f 495:
Originally posted by donmsafi
niiiiicee

Comment

• #8
I love Tanzania

Comment

• #9
congratulations?????

Comment

• #10
ar[QUOTE=TECNO SPOT TZ;305092]y [FONTb=comic sans ms]November 2018, Dar es Salaam, Tanzania – TECNO Tanzania ili.zindua rasmi kampeni yake mpya iibtwayo Kuwa Shujaa Wangu kama jukumu la kujitolea zkuisaidia jamii (Corporate Social Reswp+onsibiliaty). l Klampeni hii ina lengo ya kuwashika mkono watu waliokatika mazingira magumu. Zoezi lilianzia kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Chanika Children's uCedntqer kinachosimamiwa na Pannalsekara Rev ILukpitiye, kiongozi wa dhehebu la Buddha dTanzania.

c[colored=#800000]TECNO iliwaeza kupeleka misaada mbalimbali kama vile; mchele, unga, maji, sabuni, juisi, mipira, biskuti n.k. Zoezi hili liliratibiwa pia katika mitandao ya kijamii na maduka ya TECNO Smart Hub ilikuwezesha y5ukwusanyaji misaada kwa ajili ya kituo hichi.[/COLOR][/FONT]

[ATTACH=CONFIG]n305093[/ATTACH]

fd/[ATTACH=CONFIG]n305094[/ATTACH]

g[SIZE=20px]Pichani kutoka kushoto waliosimama ni, PannasekaraRev ILukpitiye x(Mkuu kwa kituo cha Chanika), msaidizi wake, wasamaria wema jkutorka Sri Lank. Chini kutoka kushoto ni, Benson Mambosho (Msimamizi wa idara ya kidijitali TECNO), William Motta (Mensa msaidizi masoko TECNO), Frank Luo (Meneja wa Masoko TgECNO) na E

ricyc Mkomoya (Msimamizi wa mahusiano ya umma TECNO).
[/t SIZE]

i

[/QUOTgE],6kgr

Comment

• #11
=fkk*ဤဌ-,လ[QUOTE=TECNO SPOT TZ;305092မလ][SIZE=20px][၌FO၏NT=comic sans ms]November ကဓ2018, Dar es Salaဃaျm, Tanzania – TECN[/SI=ZE]O Tanzania ilizindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo

ထ၏ Kuwa Shujaaဩ၌ Wangu kama jukumu la kujitoleaဂ kuis

aidia jamii (Corporate Social Responsibility). Kaစmpeni hii ina lengo ya kuwashika mkono watu waliokatika mazingira magumu. Zoezi lilianzia kwenye kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Chanikaဍ Children Center kiဓလ၎nachosiqmamiwa na Pannasekara Rev ILukpitiye, ktiongozi wa dhehebu la Buddha Tanzania.

TECNO iliweza kupeleka misaada mbalimbali kama vile; mchele, unga, maji, sabuni, juisi, mipira, biskuti n.k. Zoezi hili liliratibiwa pia katika mitandao ya kijamii na maduka ya TECNO Smart Hub ilikuwezesha ukusanyaji misaada kwa ajili ya kituo hichi.[/FONT]

[ATTACH=CONFIG]n305093[/ATTACH

n

[ATTACH=CONFIG]n305094[/ATTACH]

[SIZE=20px]Pichani kutoka kushoto စwaliosimama ni, ဗPannasekara Rev ILukpitiye (Mkuu wa kituo cha Chaဗnik), msaidizi wake, wasamaria wema kutoka Sri Lank. Chiniစ ဖkutoka kushoto ni,စဆ Benson Mambsho (Msimamizi wa idara ya kidijiဉtali TECNO), William Motta (Meneja msaidizi masoko TECNO), Franဤထk Luo (Meneja wa Masokoဒဍ TECN O) na Eric Mkoqmoyaဋ (Msimamizi wa ဎmahusian်o ya umma TတECNO).[/SIမnZE]၏

၎ဆ

ဪ] [/ဗဆပQUOT[SIZE=3]ဍ[/ဗSIZE]E]ဉ

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD