X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • SOMA HAPA !! njia ya haraka ya kupata ufumbuzi wa tatizo lako hapa T-spot Tanzania

  I would first like to acknowledge and thanks brother staryboi for his very nice post which made me to repost the message i got in Swahili language. see the link for his post; http://bbs.tecno-mobile.com/forum/ge...lved-on-t-spot


  Wakati tunakabiliwa na changamoto au ugumu, ni haki kutafuta ushauri kutoka kwa mtaalam (mtu mwenye ujuzi kabisa juu ya changamoto zetu).

  Hata hivyo kiuhalisia (ukizungumzia juu ya jukwaa hili) sisi mara nyingi huamini kwamba admins au maafisa wa Tecno tu ndo wanastahili kutatua matatizo yetu, hivyo tunawajazia wao maujumbe kibao (PM, maoni, nk) na wakati majibu yakiwa hayajakuridhisha au kama vile yamechelewa, sisi tunalalamika au hata wakati mwengine kupaniki kwa hasira.

  Badala ya kuelekeza maswali yako yote kwa admins au maafisa (isipokuwa unafikiri hakuna mtu anaweza kuwa na majibu ya swali lakini wao) , kwanini usijaribu kuwaelekezea wadau wote wa jukwaa hili na kuona kama ungependa kupata msaada wowote. Kuna watu wenye uelewa mkubwa sana humu wa maswala ya teknolojia na wenye uwezo wa kutusaidia katika kutatua changamoto zetu za hapa na pale. Ukiwashirikisha wadau wote wa humu changamoto zako, utapata msaada wa haraka sana.

  Tunaweza kusaidiana pamoja, kutatua matatizo ya kila mmoja wetu, kukabiliana na changamoto pamoja, kutabasamu pamoja, kupambana pamoja na kubadilishana mawazo pamoja.

  Jukwaa hili lina watu wengi binafsi, wasomi na wenye upeo mkubwa sana, watumie vizuri.
  Last edited by waku7bisha; 07-31-2016, 09:33 PM.

 • #2
  So thoughtful of you. Kudos bro.

  Comment


  • #3
   Originally posted by staryboi View Post
   So thoughtful of you. Kudos bro.
   Gracias hermano

   Comment


   • #4
    Safi mkali
    Technology is an art of creativity
    +255744123365

    Comment


    • #5
     Originally posted by BarakaAkyoo View Post
     Safi mkali
     pa1 sana

     Comment


     • #6
      Iko powa sana kaka. Vyema

      Comment


      • #7
       shukran Isaq

       Comment


       • #8
        that is very kind of you waku7bisha
        One The Incredible

        Comment


        • #9
         thanks bro...together yes we can. johncalvin

         Comment


         • Guest commented
          Editing a comment
          Umeeleweka waku7bisha. Asante kwa ujumbe.

        • #10
         pa1 sana Wolle

         Comment

         Advanced Options
         Working...
         X
         Download the App for a More Fluid Experience
         DOWNLOAD