This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #16
simu inaonesha n nzuri nambie ntaipataje koz nmeipenda ntaka kununua

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tembelea maduka ya Tecno

• #17
big up tecno

Comment

• #18
Natumia phantom 6 plus ila nmependa phantom 8. Upungufu wa phantom 8 naona ni battery ndogo ya 3500mAh badala ya 4500mAh ya phantom 6 plus au zaidi.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
sawa, lakini Phantom 8 inatumia HiOS 3 ambayo ni better katika battery optimization. Kwa hiyo 3500mAh itafanya fresh tu kwenye Phantom 8

• #19
woow.....ths makes me live for tecno!!! big up

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
yeah...!!

• #20
kwa sasa bei gani?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tembelea maduka ya tecno kujua.Ila bei elekezi ni 760000 - 800000

• #21
quandos meticais

Comment

• #22
bom

Comment

• #23
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180411_075923.jpg
Views:	1
Size:	200.1 KB
ID:	14853
chame Orenço

Comment

• #24
nataka kujua bei ya tecno k8 spark pro

Comment

• #25
[video]http://]
Originally posted by waku7bisha
Tecno tayari wameshatuletea Legendari wetu, Phantom 8, ambayo ilizinduliwa rasmi pale Jumeirah Hotel, Dubai. Phantom 8 ni kaka wa Phantom 6 na Phantom 6 plus ambazo ziliachiliwa hapo septemba 2016. Hiki kifaa ni hatari aysee, yaan imeonesha kua ni kali Zaidi ya wadogo zake. Ebhana ngoja nisipoteze muda wako, twende moja kwa moja kukifungua kifaa hiki kipya.

​Boksi la Phantom 8 lina nailoni hivi imelizunguka boksi ili kulilinda na vumbi pamoja na unyevunyevu. Nailoni wadau nilishalitoa tayari kabla sijaanza kuandika huu uzi sababu nilikua na mzuka wa kuiona Phantom 8.

​Boksi lake ni jeusi na sio kubwa kivile kama la Phantom 6 plus. Lina nembo ya Phantom 8 kila upande na namba nane inayong'aa hivi kwa juu.

[ATTACH=CONFIG]n153776[/ATTACH]

Baada ya kufungua boksi, unakutana na kitu cha Phantom 8 pale kimetulia vizurii katikati ya viboksi viwili vyenye mazagazaga yaliyokuja na Phantom 8

[ATTACH=CONFIG]n153777[/ATTACH]

Hakika hiki kifaa kimejitosheleza. Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vimeambatana ndani ya boksi

• Simu yenyewe ya Phantom 8

• Kichwa cha chaji na waya wa USB Type C

• Earphones

• Kijitabu cha jinsi ya kutumia simu

• Kava la simu (Sio la kufunga na kufungua, transparent)

• Kipini cha kutolea line

[ATTACH=CONFIG]n153778[/ATTACH]

​Pia kuna zile documents hivi kama warranty card, kadi ya Boom play, ...

[ATTACH=CONFIG]n153779[/ATTACH]

Tecno pia wametuwekea kava la nyuma buree kabisa pamoja na screen protector

[ATTACH=CONFIG]n153780[/ATTACH]

Fast charger kabambe kabisa na waya wa USB Type C

[ATTACH=CONFIG]n153781[/ATTACH]

Earphones maridhawa kabisa

[ATTACH=CONFIG]n153782[/ATTACH]

​Tuachane na hizo accessories sasa, twende kukiangalia kifaa chenyewe kwa uzuri kabisa. Binafsi kitu cha kwanza ambacho kimenikosha ni hii mambo wenyewe wanaita 4GLTE worldwide roaming.

​Hii inamaanisha waweza tumia Phantom 8 popote pale duniani

[ATTACH=CONFIG]n153783[/ATTACH]

​Kuna haka kaprotector transparent cha nailoni kwa mbele hv na nyuma ka kuzuia simu isipate scratch

[ATTACH=CONFIG]n153784[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n153785[/ATTACH]

​Kifaa chenyewe ni chepesi na kinashikika vizuri kabisa kutokana na 5.7 inch display iliyonayo

[ATTACH=CONFIG]n153786[/ATTACH]

Juu ya kioo kuna kamera ya kutwanga maselfi yenye 20 MP, spika kwa ajili ya calls na dual flash lights.

[ATTACH=CONFIG]n153787[/ATTACH]

Kwa nyuma sasa wamesimama malegendari wenyewe kamera mbili 13 MP & 12 MP Refocusing camera pamoja na tri Flash na fingerprint scanner.

[ATTACH=CONFIG]n153788[/ATTACH]

​Kwa upande wa kulia wa simu kuna button ya power na zile za sauti.

[ATTACH=CONFIG]n153789[/ATTACH]

Sehemu ya kuwekea line ipo upande wa kushoto na unaweza kuitoa kwa kutumia kile kipini ambacho kimekuja na boksi tayari.

​Unaweza ukatumia line mbili zote kwa pamoja, au line moja na memory card. Huwezi kuweka line mbili na memory card kwa wakati mmoja

[ATTACH=CONFIG]n153790[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n153791[/ATTACH]

Kuna katundu cha kuchomeka earphone kwa juu kama ilivyo kwenye simu zingine za Tecno

[ATTACH=CONFIG]n153792[/ATTACH]

Spika, mistari ya antenna, mic na port ya kuchajia vyipo kwa chini

[ATTACH=CONFIG]n153793[/ATTACH]

Kuiwasha kwa mara ya kwanza pamoja na kuiseti ni rahisi sana kama vile kumsukuma mlevi. Phantom 8 imekuja na Android 7.0 Nougat pamoja na HIOS 3.0

[ATTACH=CONFIG]n153794[/ATTACH]

Kwa ujumla Phantom 8 ni kifaa cha ukweli kabisa kulingana na nilivyokiona na kukitumia kidogo kwa mara ya kwanza, ni dhahiri kabisa kua Tecno wamefanya kazi nzuri.

Sifa za Phantom 8

Name: Phantom 8

Model : AX8

Dimension : 159.95*79.5*7.9mm

Processor: 2.6GHZ Octa-core

Resolution : 1920*1080 Display : 5.7 FHD Touchscreen

Memory : 64GB ROM + 6GB RAM Expandable Micro SD up to 2TB

Camera Front : 20MP Front Camera with Dual flash.

Camera Back: 12MP & 13MP AF Dual Back Camera with tri Flash.

OS : Android 7.0™ with HIOS 3.0

Network : GSM /WCDMA/ LTE

Connectivity : GPS,WIFI, BT,USB Type C ,USB OTG.

Battery Capacity: 3500 mAh

Sensor: G-Sensor , Ambient Light Sensor, Proximity sensor , E-Compass, Gyroscope

This post is the Courtesy of @Ennyholar

Comment

• #26
Iko poa Sana hiyo

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD