This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• Zijue kwa Undani Hizi Hapa Ndio Sifa za Tecno Phantom 8 Tanzania

Kampuni ya Tecno imerudi tena na simu mpya ya Tecno Phantom 8, sio ajabu kwa tecno kuruka namba 7 sababu pengine hichi ni kipindi cha 8th Generation. Lakini kwa sasa ngoja tuijue simu hii kidogo, kwa muundo simu hiyo haina utofauti sana na Tecno Phantom 6.

Sifa za Tecno Phantom 8
• Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 huku ikiwa na resolution ya 1920 x 1080, pamoja na kioo chenye teknolojia ya IPS.
• ​​Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.0 Nougat with HiOS 3.0.
• Uwezo wa Processor – Octa core 2.6 GHz huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya MediaTek Helio P25.
• Uwezo wa RAM – GB 6.
• Ukubwa wa Ndani – GB 64.
• Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G, 4G.
• Kamera ya Mbele – Megapixel 20, Huku ikiwa na Dual-LED flash.
• Kamera ya Nyuma – Ziko mbili moja ikiwa na Megapixel 12 na nyingine yenye Megapixel 13 zote zikiwa na teknolojia ya Telephoto for 2x zoom.
• Ulinzi – Inayo Fingerprint iliyoko kwa nyuma.
• Uwezo wa Battery – 3500 mAh huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya Li-Ion
• Bei – Tsh 820,000 bei inaweza kubadilika.
Na hizo ndio sifa za tecno phantom 8 iliyozinduliwa hivi karibuni, simu hii itanza kupatikana hivi karibuni kwenye maduka ya tecno hapa Tanzania au kwa taarifa zaidi tembelea ukurasa wa faceboo wa Tecno Tanzania.

source: https://tanzaniatech.one/2017/11/sif...-phantom-8/​
Last edited by waku7bisha; 11-09-2017, 06:36 PM.

• #2
Phantom6-Plus has the best performance ever

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
hahahaha.... you can say that once you have already use the Phantom 8

• #3
Naisubiri kwa hamu

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Namna hiyo..!!

• #4
mimi nisemeje

Comment

• #5
how is you

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
great, thanks

• #6
ngoja tuisubirie.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
namna hiyo...!!

• #7
bonge la simu sinamengi.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Kweli aysee..

• #8
Techno ni simu bora na imara zaidi

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tena kwa bei nafuu kwa kila mtanzania. Yaani kuna kila aina ya simu ambayo kila mtanzania anaweza kuimudu

• #9
kweli kabisa

Comment

• #10
dfjhcg

fhjhh774&96
Originally posted by waku7bisha
Kampuni ya Tecno imerudi tena na simu mpya ya Tecno Phantom 8, sio ajabu kwa tecno kuruka namba 7 sababu pengine hichi ni kipindi cha 8th Generation. Lakini kwa sasa ngoja tuijue simu hii kidogo, kwa muundo simu hiyo haina utofauti sana na Tecno Phantom 6.

Sifa za Tecno Phantom 8

• Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 huku ikiwa na resolution ya 1920 x 1080, pamoja na kioo chenye teknolojia ya IPS.

• ​​Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.0 Nougat with HiOS 3.0.

• Uwezo wa Processor – Octa core 2.6 GHz huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya MediaTek Helio P25.

• Uwezo wa RAM – GB 6.

• Ukubwa wa Ndani – GB 64.

• Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G, 4G.

• Kamera ya Mbele – Megapixel 20, Huku ikiwa na Dual-LED flash.

• Kamera ya Nyuma – Ziko mbili moja ikiwa na Megapixel 12 na nyingine yenye Megapixel 13 zote zikiwa na teknolojia ya Telephoto for 2x zoom.

• Ulinzi – Inayo Fingerprint iliyoko kwa nyuma.

• Uwezo wa Battery – 3500 mAh huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya Li-Ion

• Bei – Tsh 820,000 bei inaweza kubadilika.

Na hizo ndio sifa za tecno phantom 8 iliyozinduliwa hivi karibuni, simu hii itanza kupatikana hivi karibuni kwenye maduka ya tecno hapa Tanzania au kwa taarifa zaidi tembelea ukurasa wa faceboo wa Tecno Tanzania.

source: https://tanzaniatech.one/2017/11/sif...-phantom-8/​

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD