This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• Karibu Tena kwenye Ulimwengu wa Phantom Tanzania

Click image for larger version

Name:	970-90.jpg
Views:	1
Size:	63.4 KB
ID:	24055

Kama bado ulikua hujui Phantom ni jina la simu mojawapo kutoka TECNO, kampuni ya simu ambayo makao yake makuu yako huko Hong Kong. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2006. Tecno ililenga biashara yake juu ya soko la Africa na Asia kusini. Hata hivyo, baada ya utafiti wa soko uliofanywa katika Asia ya kusini mashariki, Afrika na Amerika ya Kilatini, kampuni hiyo iligundua kwamba Afrika ilikuwa eneo lenye faida zaidi. Matokeo yake, mwaka 2008 alisimama kufanya biashara huko Asia ili kukomalia biashara Afrika.

Hebu tuachane na hayo, kwani ni dhahiri kabisa hatupo hapa kujifunza historia! Habari ambayo leo hii naiweka mezani ni kuhusu simu janja, bomba na kali zaidi, TECNO Phantom 9. Mara zote Phantom hua inatolewa kila mwaka ikiwa imeshiba specifications na features kali kuliko. Ilikua ikisemekana kwamba kwakua mwaka jana TECNO hawakutoa toleo la Phantom, kampuni hiyo ilikua inafanya utafiti na kujipanga kuleta simu ambayo itakua ipo vizuri kwenye kila sekta.

Tetesi hizo ziligundulika kua ni za kweli baada ya kampuni kuzindua simu hiyo mpya ya Phantom 9 mwezi huu huko nchini India. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kampuni kutangaza kuongeza mkataba wa ushirikiano wao na klabu kubwa Uingereza ya Manchester City, pamoja na kubadili slogan yao kutoka “Experience more” kwenda “Expect More”
Click image for larger version

Name:	KV-TECNO-EN.jpg
Views:	1
Size:	277.6 KB
ID:	24057

Pasipo kuzama sana katika maswala ya kiteknikali, hakika simu hii imekuja na muundo mzuri zaidi wa kuvutia, kamera tatu za nyuma, kamera ya mbele, kioo kikubwa na kizuri zaidi chenye muundo wa “dot notch” kwa juu pale katikati.

Tumekua tukiona makampuni mengi ya simu yakiondoa tundu la kuchomeka earphone; lakini hapa kwenye Phantom 9 TECNO wameona watuachie “earphone jack” ambayo ipo upande wa chini wa simu hiyo.

Hii ni kwa ufupi tu kuhusu simu hii mpya. Endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata sifa nyingine nyingi pamoja na maelezo ya undani kabisa kuhusiana na TECNO Phantom 9.
Attached Files
Last edited by TECNO SPOT TZ; 07-22-2019, 05:49 PM.

• #2
Lakini ni lini tutakuwa na mnyama huyu kwenye soko? umakini ni muda mrefu tangu nianze kutumia Phantom 8 na ninahitaji mabadiliko.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
kuanzia hii sasa mnyama mbona tayari anapatikana kwenye smarthub za TECNO.

• #3
bb
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190723_170059.jpg
Views:	1
Size:	19.4 KB
ID:	24076

Comment

• #4
kwanza mdau hebu tujuze vipi kuhusu Font za simu maana tunasubiri hatuzipati

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
font za simu wanashughulikia na lipo kwenye process. Ukifuatilia humu utaona walitoa ratiba ya simu kupokea updates kuhusu suala la font.
Camon 11 pro tayari ilishapokea juzi kati.

• #5
leteni na huku Mikoani basi

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
ondoa shaka mkuu

• #6
bei gani

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tafadhali fika katika maduka ya TECNO kwa maelezo Zaidi.
Asante

• #7
? nimeipenda

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
ni kifaa hatari boss wangu

• #8
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190814_154413.jpg
Views:	1
Size:	124.9 KB
ID:	24452
Originally posted by waku7bisha
[ATTACH=CONFIG]n338393[/ATTACH]
Kama bado ulikua hujui Phantom ni jina la simu mojawapo kutoka TECNO, kampuni ya simu ambayo makao yake makuu yako huko Hong Kong. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2006. Tecno ililenga biashara yake juu ya soko la Africa na Asia kusini. Hata hivyo, baada ya utafiti wa soko uliofanywa katika Asia ya kusini mashariki, Afrika na Amerika ya Kilatini, kampuni hiyo iligundua kwamba Afrika ilikuwa eneo lenye faida zaidi. Matokeo yake, mwaka 2008 alisimama kufanya biashara huko Asia ili kukomalia biashara Afrika.

Hebu tuachane na hayo, kwani ni dhahiri kabisa hatupo hapa kujifunza historia! Habari ambayo leo hii naiweka mezani ni kuhusu simu janja, bomba na kali zaidi, TECNO Phantom 9. Mara zote Phantom hua inatolewa kila mwaka ikiwa imeshiba specifications na features kali kuliko. Ilikua ikisemekana kwamba kwakua mwaka jana TECNO hawakutoa toleo la Phantom, kampuni hiyo ilikua inafanya utafiti na kujipanga kuleta simu ambayo itakua ipo vizuri kwenye kila sekta.

Tetesi hizo ziligundulika kua ni za kweli baada ya kampuni kuzindua simu hiyo mpya ya Phantom 9 mwezi huu huko nchini India. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kampuni kutangaza kuongeza mkataba wa ushirikiano wao na klabu kubwa Uingereza ya Manchester City, pamoja na kubadili slogan yao kutoka “Experience more” kwenda “Expect More” [ATTACH=CONFIG]n338395[/ATTACH]   Pasipo kuzama sana katika maswala ya kiteknikali, hakika simu hii imekuja na muundo mzuri zaidi wa kuvutia, kamera tatu za nyuma, kamera ya mbele, kioo kikubwa na kizuri zaidi chenye muundo wa “dot notch” kwa juu pale katikati.

Tumekua tukiona makampuni mengi ya simu yakiondoa tundu la kuchomeka earphone; lakini hapa kwenye Phantom 9 TECNO wameona watuachie “earphone jack” ambayo ipo upande wa chini wa simu hiyo.

Hii ni kwa ufupi tu kuhusu simu hii mpya. Endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata sifa nyingine nyingi pamoja na maelezo ya undani kabisa kuhusiana na TECNO Phantom 9.

Comment

• #9
http://jose:0x1f494::0x1f495::0x1f495::0x1f495:
Originally posted by waku7bisha
[ATTACH=CONFIG]n338393[/ATTACH]

Kama bado ulikua hujui Phantom ni jina la simu mojawapo kutoka TECNO, kampuni ya simu ambayo makao yake makuu yako huko Hong Kong. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2006. Tecno ililenga biashara yake juu ya soko la Africa na Asia kusini. Hata hivyo, baada ya utafiti wa soko uliofanywa katika Asia ya kusini mashariki, Afrika na Amerika ya Kilatini, kampuni hiyo iligundua kwamba Afrika ilikuwa eneo lenye faida zaidi. Matokeo yake, mwaka 2008 alisimama kufanya biashara huko Asia ili kukomalia biashara Afrika.

Hebu tuachane na hayo, kwani ni dhahiri kabisa hatupo hapa kujifunza historia! Habari ambayo leo hii naiweka mezani ni kuhusu simu janja, bomba na kali zaidi, TECNO Phantom 9. Mara zote Phantom hua inatolewa kila mwaka ikiwa imeshiba specifications na features kali kuliko. Ilikua ikisemekana kwamba kwakua mwaka jana TECNO hawakutoa toleo la Phantom, kampuni hiyo ilikua inafanya utafiti na kujipanga kuleta simu ambayo itakua ipo vizuri kwenye kila sekta.

Tetesi hizo ziligundulika kua ni za kweli baada ya kampuni kuzindua simu hiyo mpya ya Phantom 9 mwezi huu huko nchini India. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kampuni kutangaza kuongeza mkataba wa ushirikiano wao na klabu kubwa Uingereza ya Manchester City, pamoja na kubadili slogan yao kutoka “Experience more” kwenda “Expect More” [ATTACH=CONFIG]n338395[/ATTACH]

Pasipo kuzama sana katika maswala ya kiteknikali, hakika simu hii imekuja na muundo mzuri zaidi wa kuvutia, kamera tatu za nyuma, kamera ya mbele, kioo kikubwa na kizuri zaidi chenye muundo wa “dot notch” kwa juu pale katikati.

Tumekua tukiona makampuni mengi ya simu yakiondoa tundu la kuchomeka earphone; lakini hapa kwenye Phantom 9 TECNO wameona watuachie “earphone jack” ambayo ipo upande wa chini wa simu hiyo.

Hii ni kwa ufupi tu kuhusu simu hii mpya. Endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata sifa nyingine nyingi pamoja na maelezo ya undani kabisa kuhusiana na TECNO Phantom 9.

Comment

• #10
tecno

Comment

• #11
Naomba msaada simu yangu in tecno boom j8 imepoteza IMEI number inaandika Invalid IMEI nimejaribu Ku root inagoma je nifanyeje ili nifanikiwe ?

Comment

• #12
Tunasubiri simu hiyo hapa RDC Bukavu mimi nome tumikia TECNO miaka yote hii

Comment

• #13
kwakweli binafi ninasubiri simu hiyo natamani nifike hapo kuguza ila uwezo wakulipa parabara nimekosa . Ndio mahana niwahomba muhitume zile simu hapa Congo RDC Bukavu.

Comment

• #14
Originally posted by veston kambalame
Lakini ni lini tutakuwa na mnyama huyu kwenye soko? umakini ni muda mrefu tangu nianze kutumia Phantom 8 na ninahitaji mabadiliko.
na sikuru sana

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD