This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO YATAMBULISHA RASMI PHANTOM 9 Tanzania

  Kampuni maarufu ya simu nchini, TECNO mwishoni mwa mwezi huu wa saba imezindua rasmi simu yao kubwa ya TECNO Phantom 9 ikiwa ni mwendelezo katika matoleo ya Phantom. TECNO Phantom 9 ni simu ya kwanza katika upande wa TECNO Phantom series kuja na kamera tatu za teknolojia ya AI (AI Triple Camera) zenye 16MP+8MP+2MP.

  Uzinduzi huo ulifanyika katika moja ya maduka makubwa ya TECNO yanayofahamika kama “Smarthub”, TECNO Smarthub Mlimani City. Kama ulivyo msemo wa “kizuri kula na mwenzio”, TECNO ilialika waandishi kutoka vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini ili kuweza kufikisha habari za ujio wa legendari huyo.
  Click image for larger version

Name:	picha.jpg
Views:	1
Size:	345.5 KB
ID:	24209

  Katika uzinduzi huo, meneja wa mahusiano wa kampuni ya TECNO aliambatana na mwakilishi kutoka tigo pamoja na balozi wa Phantom, Gabo Zigamba. Akizungumza na vyombo vya habari mwakilishi kutoka Tigo alisema kwamba TECNO na TIGO wakiwa kampuni pendwa zenye kujali wateja wao, wanafahamu ni kwa namna gani wateja wao wanatamani kwenda sambamba na mfumo wa maisha ya kidigitali. Na kwa kuzingatia hilo wameileta rasmi Phantom 9 ikiwa na ofa ya GB 18 kwa miezi sita ili wateja wao waendelee kufurahia mtandao bora wakiperuzi mitandaoni.

  TECNO Phantom 9 ikiwa kama “flagship” ya kampuni kwa mwaka huu imehakikisha ujuzi si katika upande wa kamera tu, bali hata uwezo wa kuhifadhi files na speed ikiwa imepewa uwezo wa memory yenye GB 128 ROM na 6 GB RAM pamoja na Operating system ya Android Pie (P). Vilevile inakuja na kioo cha AMOLED chenye screen ya nchi 6.4 FHD yenye kukuwezesha kuona picha na video katika quality na rangi nzuri kabisa.

  Bei elekezi ya legendari huyo ni shilingi za kitanzania laki saba. Wateja wote wanaotaka kununua Phantom 9 wanaweza kuweka oda za awali (pre-order) katika maduka ya TECNO Smarthubs yaliyoko Dar es salaam mtaa was amora, kariakoo katika jengo la China Plaza na Mlimani City. Kiasi cha shilingi elfu hamsini kitapokelewa siku ya kuweka oda na siku ya kuja kuchukua simu mteja atamalizia pamoja na kupewa zawadi maalumu.
  Last edited by TECNO SPOT TZ; 07-29-2019, 06:32 PM.

 • #2
  tecno l9

  Comment


  • #4
   hogera

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Fanya ujipatie ya kwako mkuu

  • #5
   inauzwaje hiyo

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    tafadhali fika katika maduka ya TECNO kwa maelezo Zaidi. Asante

  • #6
   my techno canon 11 has no color red and can't take photos with red color

   Comment


   • #7
    my techno has no red color its new bought recently..and become hot when using

    Comment


    • #8
     nic

     Comment


     • #9
      choose Tecno device for the best quality

      Comment


      • #10
       nice

       Comment


       • #11
        jaman hamna trade in apo mimi Nina phantom 8 mpya bado 0657399380 nichek uko

        Comment

        Advanced Options
        Working...
        X
        Download the App for a More Fluid Experience
        DOWNLOAD